Na Mwandishi Pwani
SERIKALI imezitaka Taasisi za Umma kuhakikisha zinakuwa chachu ya ukuaji wa uchumi kwa kutengeneza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji kupitia mifumo yenye ufanisi, kupunguza urasimu usio wa lazima, kuboresha utoaji wa huduma na kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi katika kuunga mkono...
Na Mwandishi Wetu
MAMIA ya wananchi, viongozi wa Serikali na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo (Jana) walikusanyika katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba jijini Dodoma kushiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa, yaliyongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Maadhimisho hayo yalitawaliwa na...