Na Mwandishi Wetu
Kuelekea pambano la ngumi la 'Dar Boxing Derby', bondia Karim Mandonga kama kawaida yake, ametambulisha ngumi mpya atakayompigia mpizani wake Shaban Kaoneka inayoitwa Kilumbilumbi.
Akizungumza wakati wa utambulisho wa mabondia watakaopanda ulingoni siku ya pambano hilo Julai 26, 2025 kwenye viwanja vya Leaders...
Na Tatu Mohamed
TUME ya Ushindani (FCC) imewataka wananchi kuwa mstari wa mbele katika kulinda afya na usalama wao kwa kujiepusha na bidhaa bandia, huku ikisisitiza umuhimu wa elimu kwa jamii kuhusu haki za walaji na mazingira salama ya biashara.
Kauli hiyo ilitolewa Julai 4, 2025...