Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili akiwamo mhudumu wa mochwari kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyohisiwa kuwa ni vya binadamu katika nyumba moja ya wageni iliyopo Kata ya Kibeta Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda...
Katibu wa Uchumi, Mipango na Fedha UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Hassan Ali Yasin, (kushoto) akirudisha fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge katika Jimbo la Kawe Dar es Salaam kutoka kwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni ambapo leo Julai 2,2025 ni siku...