OKTOBA 29, 2025 itabakia kuwa siku ya giza na machungu katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni siku ambayo imetufunua wote, imetuacha peupe na kutufungamanisha na mataifa mengine ulimwenguni ambayo yamekuwa yakikumbwa na ghasia, mauaji na matendo mengine ya ukiukaji wa haki...
Na Mwandishi Wetu
Kocha wa timu ya Fountain Gate, Mohamed Laizer amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2025/26.Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Laizer amewashinda Zedekia Otieno wa Tanzania Prisons na Francis Baraza wa...