INAWEZEKANA Agosti 27 2024 ilikuwa ni siku ambayo maisha ya Ally Mohamed Kibao yangeokolewa kama Bunge lingefanya kile alichokuwa ameomba Mbunge wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani kujadiliwa bungeni hali ya kutanda kwa wimbi la kutekwa, kupotea na kuuawa kwa watu nchini.
Siku hiyo Bungeni...
Na Mwandishi Wetu
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watu watano kwa tuhuma ya kukutwa na dawa za kulevya kilogramu 1,815 aina ya skanka ambayo ni aina bangi ya kusindika yenye kiwango kikubwa cha kemikali yenye sumu aina ya...