📌 Dkt. Biteko atambelea Hospitali ya Wilaya ya Meru
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini katika ngazi zote ili kuboresha huduma za Afya kwa Watanzania.
Hayo yamesemwa Aprili, 25, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema kuna umuhimu wa kukaa kwenye muafaka wa kitaifa na kukubaliana mambo ya msingi kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktaba mwaka huu.
Mtandano huo umesema siyo afya kuona kuna...