HomeKimataifa

Kimataifa

Soma Ripoti ya UHIFADHI WA UHAI: UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NDANI YA SEKTA YA UHIFADHI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Utafiti mpya umebaini kwamba mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikuu cha ukiukwaji wa haki za binadamu, zikituhumiwa kutumia nguvu kinyume cha sheria, ikiwa ni pamoja na mateso na mauaji ya raia wanaoishi jirani na maeneo ya hifadhi. Utafiti huo ulifanywa na...

RAIS DKT. SAMIA ATOA MAAGIZO KWA BASHE, NFRA KUNUNUA MAHINDI KWA WAKULIMA TSH 700 KWA KILO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassanamemuagiza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuwa Wakala wa Taifa wa Hifadhiwa Chakula (NFRA) ianze kununua mahindi kwa wakulima kote nchini kwa bei yashilingi 700 kwa kilo, nyongeza kutoka bei ya awali ya...
spot_img

Keep exploring

Bunge la Kenya laidhinisha kutumiwa kwa Jeshi, Mahakama yaweka ngumu

Nairobi, Kenya Bunge la Kenya limeidhinisha ombi la Baraza la Ulinzi la kutumiwa kwa Jeshi...

Polisi wakabiliana na waandamanaji mjini Nairobi

Nairobi, Kenya Makabiliano makali yamezuka katikati ya mji Mkuu wa Kenya, Nairobi, baada ya polisi...

Kansa ya mizozo ndani ya vyama imeitafuna ANC

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na utamaduni wa kualika vyama rafiki kuhudhuria katika mikutano...

Mtu mmoja afariki katika ajali ya ndege ya shirika la ndege la Singapore kutoka London

Bangkok, Thailand Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa leo wakati ndege ya shirika...

Mafuriko Kenya: KHRC yawashtaki mawaziri watatu kwa uzembe

Nairobi, Kenya Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya (KHRC) imethibitisha siku ya Ijumaa kuwa...

Uokoaji waendelea kutafuta watu 20 walioporomoka na daraja la Francis Scott Key Marekani

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Timu za kutafuta na kuokoa zinawatafuta karibu watu 20...

Utafiti: Joto kali linaongeza hatari kujifungua mtoto mfu

Kufanya kazi kwenye joto kali kunaweza kuongeza hatari ya kuzaliwa mtoto mfu na kuharibika...

Rais mstaafu Brazil matatani kwa udanganyifu vipimo vya COVID 19

Polisi wa nchini Brazil wanapendekeza kwamba Rais wa zamani wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro...

Maendeleo makubwautafiti tiba ya UKIMWI

Wanasayansi wanasema wamefanikiwa kuondoa Virusi vya Ukimwi kutoka kwenye chembechembe zilizoambukizwa, kwa kutumia teknolojia...

Marubani wasinzia nusu saa ndege ikiwa angani

Mamlaka za nchini Indonesia zinachunguza tukio la marubani wawili wa ndege ya kampuni ya...

SEHEMU YA NCHI GIZANI

Sehemu kadhaa nchini zimekumbwa na 'giza' kwa saa kadhaa leo Jumatatu Machi 4, 2024,...

Ruto, Raila na Museveni wakutana Uganda

Picha ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa Upinzani nchini humo, Raila...

Latest articles

Soma Ripoti ya UHIFADHI WA UHAI: UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NDANI YA SEKTA YA UHIFADHI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Utafiti mpya umebaini kwamba mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikuu...

RAIS DKT. SAMIA ATOA MAAGIZO KWA BASHE, NFRA KUNUNUA MAHINDI KWA WAKULIMA TSH 700 KWA KILO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassanamemuagiza Waziri wa Kilimo...

Upi upepo unaoweza kufika Tanzania,wa Wiliam Ruto au Paul Kagame?

KUNA upepo wa aina mbili unavuma katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mmoja...

Watu wawili wafariki, 16 wajeruhiwa katika ajali ya basi Songwe

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Watu wawili wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa baada ya...