Papa mpya apatikana ni Robert Prevost

Na Mwandishi Wetu

Papa Mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, ametangazwa ni Kardinali Robert Francis Prevost(69), raia wa Marekani na amechagua jina la Papa Leo XIV.

Amechaguliwa leo Mei 8,2025, kuchukua nafasi ya  Papa Francis,aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, Aprili 21, 2025.

Moshi mweupe ulionekana jioni ya leo  katika bomba lililopo katika paa la kanisa la Sistine Chapel mjini Vatican, ukiashiria kuwa tayari Makardinali walioketi kuanzia jana Mei 7,2025, wamempata Papa mpya.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya...

More like this