MWAKA 1992 wakati nchi hii ilipoingia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kulikuwa na hamasa kubwa. Hamasa hii ilitokana na jambo moja kubwa, kwamba sasa uwanja wa siasa uko wazi na huru kwa Watanzania wote. Kwamba kila mmoja sasa anaweza kujishughulisha na siasa...
LEO ni siku ya pili katika mwaka mpya wa 2025. Ninawatakia wasomaji wa safu hii kheria ya mwaka mpya wa 2025. Ni maombi yangu kwamba tutaendelea kukutana kwenye safu hii kila wiki kuchambua mambo makubwa ya kitaifa kwa nia ya kukuza na kusukuma mbele...