Na Mwandishi Wetu
Wakala wa Vipimo (WMA) umeanza kutoa elimu ya vipimo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi katika siku ya kwanza, (Agosti 1, 2026) ya Maonesho ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya John Malecela, eneo la Nzuguni jijini Dodoma.
Kwenye banda lake...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeendelea kuwa chombo muhimu cha Serikali katika kufadhili maendeleo ya sekta za kilimo, mifugo na uvuvi, huku akiitaka kuongeza uwezo wake wa kifedha ili kuwafikia wakulima, wafugaji...