Chama aipa Singida Bs ubingwa wa CECAFA

Na Mwandishi Wetu

Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama yamefanikisha timu ya Singida Bs kutwaa ubingwa wa michuano ya Cecafa Kagame Cup kwa kuifunga Al Hilal mabao 2-1katika mchezo wa fainali uliopigwa leo Septemba 15, 2025, Uwanja wa KMC Complex Mwenye, Dar es Salaam.

Chama ametua Singida hivi karibuni baada ya kuachana na Yanga. Ubingwa huo ni wa kwanza katika historia ya timu hiyo, inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Miguel Gamondi.

Katika mchezo wa mapema APR FC ya Rwanda imeibuka mshindi wa tatu wa mashindano hayo kwa ushindi wa  mabao 2-1 dhidi ya KMC FC.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

More like this

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...