Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania kuendeleza misingi ya amani, uvumilivu na maridhiano baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 7, 2025 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu...
Na Mwandishi Wetu
Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha katika kikosi mshambuliaji Kelvin John, anayechezea Aalborg BK ya Denmark ambaye mara ya mwisho kuitwa katika kikosi hicho ilikuwa Machi, 2025.
Kelvin ni kati ya nyota wa Tanzania wanaofanya vizuri nje...