WIKI iliyopita zilisambaa habari za soko jipya la kisasa la Chuini lililojengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh. bilioni 40 huko Zanzibar kuwa linaua mitaji ya wafanyabiashara. Malalamiko yaliyotolewa na wafanyabishara wa soko hilo yanaeleza kuwa wamepoteza mitaji yao kwani wateja hawaendi kufuata mahitaji...
Na Tatu Mohamed
BENKI ya CRDB imezindua rasmi msimu wa nne wa kipindi cha Zogo Mchongo, ikiendelea kutumia jukwaa hilo kutoa elimu ya fedha kwa Watanzania, kuhamasisha matumizi ya huduma za kifedha za kidijitali na kuwajengea wananchi uwezo wa kutambua na kutumia fursa za kiuchumi.
Uzinduzi...