Na Mwandishi Wetu
Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz.
Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya kupoteza mchezo kwa kufungwa ugenini na Silver Strikers bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo...
Na Mwandishi Wetu
Mwamuzi wa Tanzania ,Ahmed Arajiga ni miongoni mwa waamuzi wa wameteuliwa kuchezesha michuano ya CHAN yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi...