HomeKITAIFA

KITAIFA

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban Msangi ameteuliwa kuwa miongoni mwa waamuzi watatu watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Mexico, Novemba, 2026. Hii ni mara ya pili kwa mwamuzi huyo kuchezesha Kombe...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha...
spot_img

Keep exploring

Rais Samia amlilia Lowassa

RAIS SAMIA AMLILIA LOWASSA RAIS Sami Suluhu Hassan ametuma salaam za rambirambi kwa familia ya...

Buriani Lowassa , 1953 – 2024

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa (70) amefariki Dunia Leo Katika Taasisi ya...

Madaktari 10 hatiani, waadhibiwa

Madaktari 10 hatiani, waadhibiwa AFYA Dar es Salaam.Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT), limewafungia leseni ya kutoa...

Jenista ampongeza Rais Samia kwa kuboresha maslahi ya watumishi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na...

OSHA yaeleza jinsi TEHAMA inavyorahisisha usimamizi wa usalama na afya

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeeleza...

Saba wapofuka wakitibu macho (red eyes) kienyeji

UNGUJA.Watu saba wamepofuka macho Visiwani Zanzibar, kutokana na kutumia dawa za kienyeji kutibu ugonjwa...

Lissu kutohojiwa Wasafi kwamuibua Waziri Nape

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekitaka Kituo cha Wasafi...

Muhimbili yaweka rekodi kutengeneza jinsia ya kike

Na Nora Damian Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeweka rekodi ya kihistoria kwa kufanya upasuaji...

Tucta yataka likizo ya uzazi iongezwe kwa wanaojifungua watoto njiti

Na Nora Damian Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeiomba Serikali kuangalia upya likizo...

Waliotafuna fedha za AMCOS Mbozi waanza ‘kuzitapika

SHILINGI milioni 170 ambazo ni sehemu ya mamilioni ya fedha zilizobainika kutafunwa baadhi ya...

Wazabuni watatu kuchuana mradi wa mwendokasi Kibaha -Morogoro

Na Esther Mnyika, Media Brains Serikali imepokea zabuni tatu za utekelezaji wa mradi wa barabara...

Serikali yapambanana ujenzi holela mijini

SERIKALI imekiri kuwepo kwa ujenzi holela katika maeneo mbalimbali licha ya uwepo sheria zinazoweka...

Latest articles

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...

Kampuni ya Media Brains yawapa mbinu za kidigitali waandishi wa habari Iringa

Na Mwandishi Wetu, Iringa KAMPUNI ya Media Brains kwa kushirikiana na Taasisi ya Konrad Adenauer...

Kibabage aimpa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON

Na Winfrida Mtoi BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson Kibabage amesema kitendo cha...