Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa (70) amefariki Dunia Leo Katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dar Es Salaam.
Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kupitia Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango
#themediaBrains