Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu

MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban Msangi ameteuliwa kuwa miongoni mwa waamuzi watatu watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Mexico, Novemba, 2026.

Hii ni mara ya pili kwa mwamuzi huyo kuchezesha Kombe la Dunia, mara ya kwanza alichezesha fainali za mwaka 2022 zilizofanyika Uturuki.

Pamoja na kuwa mwamuzi, Msangi pia ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF).

spot_img

Latest articles

Zawadi ya gari yawapa mzuka mabondia

Na Winfrida Mtoi Waandaaji wa pambano la Dar Boxing Derby wameweka gari aina ya Crown...

Nani anajali kurejesha hadhi Tanzania?

WIKI iliyopita haikuwa ya habari njema kwa Taifa la Tanzania huko duniani. Pamoja na...

TCAA YAIMARISHA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA DAWATI MAALUM

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kupitia kwa Mkurugenzi wake...

TBA YASHINDA TUZO YA BANDA BORA SABASABA, YATANGAZA DIRA YA KUFIKIA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umeibuka mshindi wa pili na kutunukiwa tuzo...

More like this