HomeFeatured

Featured

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Kinara wa kubebesha wanawake dawa za kulevya akamatwa

Na Esther Mnyika Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imemkamata kinara...

Mwakinyo atamba yuko fiti asilimia 98 kupanda ulingoni Zanzibar

Na Winfrida Mtoi Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya pambano lake dhidi ya Mbiya Kanku...

Wachezaji 21 waitwa kikosini Tembo Warriors

Na Winfrida Mtoi Jumla ya wachezaji  21 wameitwa kuunda  timu ya Taifa ya watu wenye...

Watalii zaidi ya 2,000 watua nchini na meli ya Kitalii

Na Shani Nicolaus, Media Brains Meli kubwa iliyobeba watalii 2,210 kutoka Canada, imewasili alfajiri ya...

Mlima unaomsubiri Nchimbi kiti cha Katibu Mkuu CCM

UTEUZI wa Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Kamati ya Bunge yaridhishwa na  mradi wa Pori la Akiba Wami Mbiki

Na Beatus Maganja, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii, imeridhishwa na ...

Dira 2050 kushirikisha makundi yote ya jamii

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali imeeleza kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka...

Tanesco hoi, shida ni Tanesco au Serikali?

WIKI iliyopita katika safu ya Nyuma ya Pazi nilijadili suala la mgawo wa umeme....

Ramaphosa aafiki makubaliano ya Israel na Hamas

Johannesburg, Afrika Kusini Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameafiki makubaliano kati ya Israel na...

Tanesco imebweteka, itoke kwenye boksi la raha

TAIFA bado lingali katika mgawo wa umeme kwa takribani miezi miwili sasa ambao Shirika...

Hasira za wabunge zinakumbusha kauli ya CAG Profesa Mussa Assad

NJAMA ni maafikiano au mapatano ya kufanya jambo baya dhidi ya mtu au watu...

Upole wa Watanzania umezaa kujipendekeza?

KUNA watu wanaishi mwaka 2023, lakini wanatamani sana wawe katika mfumo wa siasa za...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....