HomeKITAIFA

KITAIFA

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban Msangi ameteuliwa kuwa miongoni mwa waamuzi watatu watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Mexico, Novemba, 2026. Hii ni mara ya pili kwa mwamuzi huyo kuchezesha Kombe...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha...
spot_img

Keep exploring

Serikali yawatoa hofu Watanzania kuhusu ubora na usalama wa sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania...

Serikali yasema haina nia ya kuhujumu sekta ya sukari

*SBT yasema milango iko wazi kwa wanye malalamiko Na Winfrida Mtoi, Media Brains Serikali imetoa ufafanuzi...

Mufti azindua kitabu chake

Na Winfrida Mtoi Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir, amezindua  kitabu...

Mamlaka za Serikali kichocheo cha Ukiukwaji wa Haki za Binadamu

Na Mwandishi Wetu, Media Brains  Utafiti mpya umebaini kuwa mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikubwa...

CAG aipa tano PPAA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles...

Wadau washauri Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Haki za Binadamu na Uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Wadau wa kutetea haki za binadamu na utawala bora wamependekeza...

Serikali yapiga marufuku tozo kinyume na sheria kwa wachimbaji wa madini

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali kupitia Wizara ya Madini imepiga marufuku Halmashauri zote nchini...

Majaliwa: Taasisi za Umma zitumie mifumo ya Kidigital

*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini  Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka...

Serikali yasitisha zoezi la ukaguzi wa risiti soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, Media Brains SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD)...

Deni la Taifa lafikia Trilioni 90, Serikali yatoa sababu za kuongezeka

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema hadi kufikia Machi...

VAR kutumika ligi kuu bara msimu ujao

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Ili kupunguza makosa ya waamuzi katika Ligi Kuu ya Tanzania...

Kikokotoo mafao ya Wastaafu sasa asilimia 40

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali imetangaza ongezeko la malipo ya mkupuo kwa wastaafu kutoka...

Latest articles

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...

Kampuni ya Media Brains yawapa mbinu za kidigitali waandishi wa habari Iringa

Na Mwandishi Wetu, Iringa KAMPUNI ya Media Brains kwa kushirikiana na Taasisi ya Konrad Adenauer...

Kibabage aimpa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON

Na Winfrida Mtoi BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson Kibabage amesema kitendo cha...