HomeKITAIFA

KITAIFA

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban Msangi ameteuliwa kuwa miongoni mwa waamuzi watatu watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Mexico, Novemba, 2026. Hii ni mara ya pili kwa mwamuzi huyo kuchezesha Kombe...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha...
spot_img

Keep exploring

Soma Ripoti ya UHIFADHI WA UHAI: UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NDANI YA SEKTA YA UHIFADHI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Utafiti mpya umebaini kwamba mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikuu...

RAIS DKT. SAMIA ATOA MAAGIZO KWA BASHE, NFRA KUNUNUA MAHINDI KWA WAKULIMA TSH 700 KWA KILO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassanamemuagiza Waziri wa Kilimo...

Watu wawili wafariki, 16 wajeruhiwa katika ajali ya basi Songwe

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Watu wawili wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa baada ya...

Mabasi 100 ya DART yaja, kadi kurejea mwezi ujao

Na mwandishi WetuSERIKALI inatarajia kuingiza mabasi mpya 100 nchini kwa ajili ya kuboresha hali...

Kidata aligusa maslahi ya deep state?

MEI mwaka jana wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo ambalo limepewa hadhi ya soko la...

TAEC kupima maji ya visima kubaini viasili vya mionzi

Na Nora Damian Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeanza kupima maji ya visima...

Wenye migogoro ya bima waitwa kusuluhishwa

Na Mwandishi Wetu Msuluhishi wa Migogoro ya Bima, Margaret Mngumi amewataka wananchi wenye changamoto za...

Iran yanadi fursa za uwekezaji maonesho ya Sabasaba

Na Nora Damian Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za...

Wananchi Kipunguni kulipwa fidia mwezi ujao

Na Nora Damian Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema fidia kwa wakazi wa Mtaa...

Mabadiliko ya sheria ya sukari yatawakomboa Watanzania-SBT

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Kufuatia upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na...

Uamuzi wa serikali kuwapa wafanyabiashara vibali vya uagizaji kulishusha bei ya sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa...

Serikali yakanusha kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali...

Latest articles

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...

Kampuni ya Media Brains yawapa mbinu za kidigitali waandishi wa habari Iringa

Na Mwandishi Wetu, Iringa KAMPUNI ya Media Brains kwa kushirikiana na Taasisi ya Konrad Adenauer...

Kibabage aimpa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON

Na Winfrida Mtoi BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson Kibabage amesema kitendo cha...