HomeFeatured

Featured

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Sisi ndiyo tuliomrudisha Makonda. Tusiishie kulaumu, tujitafakari

KUNA jina moja tu sasa masikioni mwa Watanzania wanaofuatilia siasa. Paul Christian Makonda. Huyu ndiye...

Mahakama ya Kenya yaongeza muda wa amri ya kuzuia kutumwa kwa polisi nchini Haiti

Nairobi, Kenyad Mahakama Kuu ya Kenya imeongeza muda wa amri ya kuzuia kutumwa kwa polisi...

Balozi Mbarouk asaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Finland

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

Rostam kuanza kuzalisha umeme Zambia

Na Mwandishi Wetu, Lusaka Mfanyabishara wa Kimataifa, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group,...

Tuihami demokrasia kwa udi na uvumba

Katika miaka ya hivi karibuni dunia imeshuhudia wimbi jipya la viongozi watamanio mkono wa...

Walimu watakiwa kutimiza wajibu kwa kufanya kazi kwa bidii

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Walimu wa shule za msingi katika Halmashauri ya Jiji la...

TSAA kuja na maktaba mtandao

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Umoja wa wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Tanga (TSAA) wanatarajia...

Rostam Azizi akanusha kununua hisa Yanga

*Asema hayupo nchini kwa muda mrefu*Awataka Watanzania kuwa makini na kupuuza taarifa hizo Na Mwandishi...

Majaliwa: Viongozi wa Dini wahamasisheni Vijana kufanya kazi kwa weledi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini...

‘Hali ilikuwa mbaya TANU ilipokuwa CCM’

Na Jesse Kwayu, Media Brains KAMA kuna watu walifanya kazi na Mwalimu Julius Nyerere kwa...

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

Na Mwandishi Wetu, Media Brains ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana...

Ulega: Uchanjaji wa mifugo bado unasuasua

Na Mwandishi Wetu, Media Brains SERIKALI imesema suala la uchanjaji wa mifugo bado lipo nchini...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....