KUNA uhusiano wowote kati ya mafanikio ya kiuchumi kwa nchi yoyote na kukua kwa mfumo wake wa kisiasa? Hili ni swali linaloonekana kuumiza vichwa vya wachambuzi wanaotafuta uhusiano chanya baina ya nyanja hizo kuu za maisha ya binadamu. Uchumi na siasa.
Katika maendeleo ya miaka...
Na Winfrida Mtoi
Mechi ya Dabi ya Kariakoo ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara, Yanga Princess dhidi ya Simba Queens inatarajiwa kupigwa kesho saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Katika msimamo wa ligi hiyo, Simba Queens inaongoza ikiwa...