HomeFeatured

Featured

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Tanzania yajiweka nafasi nzuri kufuzu Kombe la Dunia kriketi

Na Winfrida Mtoi Timu ya taifa ya kriketi ya wanaume ya Tanzania imeendelea kujiweka katika...

DCEA yakamata kilo 1,815 za skanka

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata...

NECTA yawaonya wamiliki na wakuu wa shule

Na Winfrida Mtoi Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA), limewataka wamiliki na wakuu wa shule...

Yanga yaanza na pointi tatu Ligi Kuu

Na Mwandishi Wetu Timu ya Yanga imeanza na ushindi katika Ligi Kuu Tanzania Bara...

Jay Melody kutoana jasho na Diamond, Alikiba

Na Winfrida Mtoi Kamati ya Tuzo  za Muziki Tanzania (TMA) leo Agosti 29,2024 imetangaza...

Tanzania yajipanga matumizi ya nishati ya nyuklia

Na Mwandishi Wetu Tanzania imeeleza mpango na utayari wake katika uendelezaji wa nishati ya...

Nape, Makamba watarejesha majambia alani?

“Mmekula kiapo hapa… Kiapo kina maana kubwa… si maneno tu... Mamlaka imewashuhudia na wananchi...

Sh.trilioni 3.24 kufuta tatizo la mbolea nchini

NA EBENI MITIMINGI, MEDIA BRAIN Taasisi tatu za umma kwa niaba ya Serikali ya Tanzania...

Damu kiasi gani imwagike ndiyo viongozi wa Afrika wataamka?

KWA mtu yeyote anayefuatilia hali ya amani katika nchi za Afrika kwa zaidi ya...

Soma Ripoti ya UHIFADHI WA UHAI: UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NDANI YA SEKTA YA UHIFADHI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Utafiti mpya umebaini kwamba mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikuu...

Watu wawili wafariki, 16 wajeruhiwa katika ajali ya basi Songwe

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Watu wawili wamefariki dunia na wengine 16 kujeruhiwa baada ya...

Mabasi 100 ya DART yaja, kadi kurejea mwezi ujao

Na mwandishi WetuSERIKALI inatarajia kuingiza mabasi mpya 100 nchini kwa ajili ya kuboresha hali...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....