HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

Msanii aiombea michango Tembo Warriors, yakusanya sh. 270,000 pekee

Na Winfrida Mtoi Msanii wa Bongo Flava, Frank Humbuchi maarufu Foby amewataka watanzania na wasanii...

Timu ya Taifa kriketi ya wanawake kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya wanawake ya mchezo wa kriketi ya Tanzania inatarajiwa...

Ratiba ya Ligi Kuu msimu wa 2025/26 hadharani, Dabi ya Kariakoo Des 13

Na Winfrida Mtoi Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara(TPLB) leo  Agosti 29, 2025,  imetangaza ratiba...

Gari, Pikipiki, dhahabu, simu janja zaongeza msisimko katika mnada wa Piku

Na Mwandishi Wetu JUKWAA la kidigitali la PIKU linalojulikana kwa kuendesha minada ya kipekee...

TACTIC yaimarisha huduma za usafiri na usafirishaji Manispaa ya Sumbawanga

Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuimarisha huduma...

Mradi wa TACTICS waleta mageuzi ya miundombinu Morogoro

Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaelezwa kuboresha miundombinu...

Geofrey Timothy achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kawe

Na Mwandishi Wetu MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey...

UVCCM yazindua Mfumo wa Kijani Ilani Chatbot

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)...

Mradi wa TACTIC kubadilisha mandhari ya Jiji la Dodoma

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Dkt. Fredrick Sagamiko ameeleza kuwa...

Mradi wa Tactics waboresha miundombinu Manispaa ya Tabora

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Manispaa ya Tabora, Dkt. John Pima amesema kuwa kiasi...

Arusha kupokea ugeni mkubwa, yajiandaa kufanya utalii wa mikutano

Na Mwandishi Wetu Kitovu cha utalii na mikutano ya kimataifa nchini, Jiji la Arusha linajiandaa...

Agizo la minada yote nchini kutumia nishati safi ya kupikia laanza kutekelezwa

Na Mwandishi Wetu AGIZO la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...