HomeFeatured

Featured

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ni mdau muhimu katika kuhakikisha matumizi ya mionzi yanafanyika kwa usalama katika sekta mbalimbali, ikiwemo hospitali, viwanda, vituo vya utafiti, migodi, bandari, viwanja...

Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa maagizo kwa uongozi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhusu hatua za kuchukua ili kuongeza ufanisi na kuimarisha utendaji wa Wakala huo. Maagizo hayo yametolewa wakati wa kikao kati ya Msajili...
spot_img

Keep exploring

TBA yafungua fursa za uwekezaji katika miundombinu ya kilimo na biashara

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umewataka wawekezaji wa sekta binafsi kutumia...

UDOM yabuni mfumo wa kidijitali wa kupunguza upotevu wa mazao baada ya kuvuna

Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimebuni mfumo wa kidijitali unaowezesha wakulima kufuatilia...

ZSTC yapongeza mchango wa TADB katika kukuza sekta ya karafuu Zanzibar

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) limesema ushirikiano wake na...

Mikopo ya TADB yaongeza nguvu biashara ya parachichi, Eatfresh yawahakikishia wakulima soko

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Eatfresh (GBRI Business Solutions) imesema ufadhili wa zaidi ya Sh...

Serikali yasukuma matumizi ya teknolojia kuongeza thamani ya mazao

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewataka wakulima, wafugaji na wavuvi kutumia maarifa, taarifa sahihi na teknolojia...

GST: Tafiti za Jiosayansi ni Nguzo ya Dira ya Taifa 2050 na Uchumi Endelevu wa Madini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini...

EWURA: Ukaguzi wa mifumo ya umeme kila baada ya miaka mitano unaweza kuzuia majanga ya moto

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewataka wananchi...

PBPA: Tanzania yazidi kuwa kitovu cha usambazaji wa mafuta Afrika Mashariki na Kati

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema mfumo wa...

Mlugu Mtanzania wa kwanza kutinga robo fainali mashindano ya Judo Jumuiya ya Madola 2026

Glasgow, Scotland Mchezaji wa Judu, Andrew Mlugu, ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kutinga...

FURSA ZA BIASHARA ZA MABILIONI KATIKA MIGODI ZAWAFUNGUKIA WATANZANIA

Vijana na wanawake wapewa kipaumbele kunufaika na mnyororo wa thamani wa madini Na Mwandishi Wetu...

GST yaongeza kasi ya tafiti za kijiosayansi kuvutia uwekezaji sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeongeza kasi ya...

UDSM wabuni mfumo wa simu janja unaosaidia wakulima kutumia maji kwa ufanisi

Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimebuni mfumo wa kidijitali unaotumia...

Latest articles

TAEC YAFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI SALAMA YA MIONZI MKOANI LINDI

Na Mwandishi Wetu KAIMU Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bwn. Natalis Linuma, amesema...

Msajili wa Hazina aitaka TANROADS kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo, Septemba 18, 2026, ametoa...

TANESCO IMEJIPANGA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO – MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limejipanga kukabiliana na...

MRADI WA UMEME SIMIYU KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI WANANCHI

📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba...