HomeFeatured

Featured

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani. Ushindani kwenye kila uwanda. Ni mfumo unaotaka kile kinachostawi na kutamalaki kitokane na juhudi ya kazi bora, kujitoa na kuwekeza ili umma uamue. Kwa mfano, soko huru halipaswi kuzuia mwenye nia...

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu baadaye, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuvuruga utaratibu wa soko. Akizungumza wakati wa ziara katika maghala ya kuhifadhia mafuta...
spot_img

Keep exploring

Rais Samia kupokea gawio la kihistoria, wachumi watarajia makubwa

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan,...

Dk. Mpango atoa wito  kwa Mataifa kupunguza uchafuzi wa mazingira, kulinda bioanuwai ya baharini

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango...

Serikali yatenga bilioni 43 kuimarisha michezo  shuleni

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga  Sh 43 bilioni ili kuimarisha michezo katika...

Waziri Gwajima: Ukatili dhidi ya watoto na vijana wapungua

📌 Serikali yaahidi kutumia matokeo hayo kupanga mikakati na mipango na programu mbalimbali ya...

Tume ya Uchaguzi yapongezwa maandalizi Uchaguzi Mkuu 2025

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt....

Wasira: Hatuahirishi Uchaguzi Mkuu ng’o

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba...

Mambo bado magumu dabi ya Kariakoo, Yanga yaikomalia Bodi ya Ligi

Na Mwandishi Wetu Licha ya kufanya kikao na uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB),...

Twange: Mradi wa kuzalisha Umeme wa Jua Kishapu wafikia asilimia 63.3

📌Asema awamu ya kwanza utazalisha Megawati 50 na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa Na Mwandishi...

Wapambe waanza rafu za uchaguzi Morogoro Mjini

Na Mwandishi Wetu, Morogoro WAKATI kipyenga cha uchukuaji fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo...

Dkt. Biteko: Dunia inaiangalia Tanzania na Afrika Mashariki kuwa Kitovu cha Utalii

📌 Atoa maagizo matatu kwa Wizara ya Maliasili 📌 Rais Samia aiweka Tanzania kwenye...

Gugu asisitiza umuhimu wa ushirikiano Kikanda kukabiliana na uhalifu

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,  Ally Gugu, amesisitiza...

Spika Tulia: Serikali Itaendelea Kupambana na Changamoto ya Mikopo kwa Wanafunz

Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia...

Latest articles

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha...

Lukuvi afariki dunia

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye...

Mgodi wa kihistoria wa niobium kujengwa Mbeya

Na Mwandishi Mbeya TANZANIA imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada...