Waogeleaji wa Lake Victoria Sports Club waahidi kuing’arisha Tanzania Kimataifa

Na Mwandishi Wetu

Jumla ya waogeleaji sita  chipukizi wa Lake Victoria Sports Club  ya jijini Mwanza  wanatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania  katika mashindano ya kuogelea ya  Kimataifa  yatakayofanyika kesho Aprili 18 hadi 20, 2025  Dubai.

Waogelaji hao wameahidi kufanya vizuri katika mashindano hayo ili kuitangaza Tanzania Kimataifa.

Timu hiyo iliondoka nchini jana Aprili 16, 2025 ambapo tayari inaendelea na mazoezi ya kujiandaa na mashindano nchini humo.

Waogeleaji hao walioondoka ni Ethan Makalla, Nusrat Hassan, Nasri Hassan ,. Ibrahim Igoro, Tahir Isak ,. Zeeshan Isak, Naseeb Hassan.

spot_img

Latest articles

Dkt. Yonazi Ahimiza mipango endelevu uimarishaji Mji wa Serikali

Na Mwandishi wetu- Dodoma KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge...

ZIARA ZA RAIS SAMIA UGANDA, ETHIOPIA KUFUNGUA FURSA ZA BIASHARA, AJIRA NA UWEKEZAJI

Na Tatu Mohamed ZIARA za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...

TANESCO YATIMIZA AHADI: YAFUNGA TRANSFOMA KUONDOA KERO YA UMEME KATAVI

📌Utekelezaji huo unafuatia maagizo ya Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, aliyetoa muda hadi...

UZALISHAJI GESI ASILIA WAFIKIA FUTI ZA UJAZO BILIONI 65.4, PURA YAOKOA SH BILIONI 8.86

Na Tatu Mohamed UZALISHAJI wa gesi asilia nchini umeongezeka na kufikia futi za ujazo bilioni...

More like this