Na Mwandishi Wetu
Bondia Mtanzania Zulfa Macho amemchapa kwa pointi Bisambu Deborah wa DR Congo katika pambano la nusu fainali ya mashindano ya ngumi ya Kanda ya Tatu Afrika, yanayoendelea Nairobi, Kenya.
Ushindi huo umemfanya Zulfa kulipa kisasi kwa bondia huyo ambaye mwaka 2024 alimpiga a...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka wa mashindano wa 2025.Simba imeingia katika mchujo wa kuwania tuzo hiyo ikichuana na timu 10 ambazo ni Cr Belouizdad, Constantine,...