HomeSIASA

SIASA

Serikali yajipanga kuimarisha utumishi wa umma, kuendeleza mageuzi ya kidigitali

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Serikali imejipanga kuimarisha utendaji wa watumishi wa umma pamoja na kuendeleza mageuzi ya kidijitali katika utoaji wa huduma kwa wananchi. Akizungumza na waandishi wa...

Bokya amtahadharisha mapema Tyson wa Bongo

Na Winfrida Mtoi Bondia Ismail Khalid maarufu Boyka ametamba kutoa kipigo kikali kwa mpinza wake Hassan Ndonga ‘Tyson Wa Bongo’  hadi  aombe maji ulingoni. Bokya ameyasema hayo wakati wa mazoezi kuelekea pambano lao la siku ya Boxing On Boxing Day, Desemba 26,2025 House Masaki Jijini Dar...
spot_img

Keep exploring

Israel Salufu wa CCM achukua fomu ya kuwania Jimbo la Kilolo

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya...

Kaboyoka ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

Na Tatu Mohamed MBUNGE wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Aliyeongoza kura maoni Vunjo 2020, kumkabili tena Dkt. Kimei

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za...

Wasira: Uchaguzi Mkuu sio ajali

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza...

Tume ya Uchaguzi yapongezwa maandalizi Uchaguzi Mkuu 2025

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt....

Wasira: Hatuahirishi Uchaguzi Mkuu ng’o

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba...

Wapambe waanza rafu za uchaguzi Morogoro Mjini

Na Mwandishi Wetu, Morogoro WAKATI kipyenga cha uchukuaji fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo...

CCM yatangaza kufufua mchakato wa Katiba mpya

*Askofu Gwajima apigwa kitu kizito Na Mwandishi Wetu WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...

Dkt. Biteko ataja maeneo sita ya vipaumbele utekelezaji wa Ilani ya CCM

📌 CCM yajivunia kuimarisha upatikanaji wa huduma bora kwa jamii 📌 Rais Samia asema CCM...

Tundu Lissu Arejeshwa Gerezani hadi Juni 2, mwaka huu

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amerejeshwa...

Jeshi la Polisi lamkamata kiongozi wa Chadema

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Naibu Katibu Mkuu...

G. 55 rasmi wajitoa Chadema

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama wengine...

Latest articles

Serikali yajipanga kuimarisha utumishi wa umma, kuendeleza mageuzi ya kidigitali

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...

Bokya amtahadharisha mapema Tyson wa Bongo

Na Winfrida Mtoi Bondia Ismail Khalid maarufu Boyka ametamba kutoa kipigo kikali kwa mpinza wake...

Mwili wa Jenista Mhagama Kuzikwa Jumanne Mbinga, Ruvuma

Na Mwandishi Wetu MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa...

Mradi wa upanuzi Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kinyerezi I Extension umekamilika

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema kuwa mradi wa upanuzi...