HomeKITAIFA

KITAIFA

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban Msangi ameteuliwa kuwa miongoni mwa waamuzi watatu watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu nchini Mexico, Novemba, 2026. Hii ni mara ya pili kwa mwamuzi huyo kuchezesha Kombe...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha...
spot_img

Keep exploring

Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Watumishi wa Umma

*Awataka waondoe urasimu na kutowasumbua wananchi wanaowahudumia Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...

Matusi mitandaoni hayatanizuia kufanya mageuzi ya kiuchumi-Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu...

UVCCM yaukataa mtandao wa X

Na Winfrida Mtoi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeishauri Serikali kuchunguza maudhui...

Bastola toy zatumika kufanyia uhalifu

Na Winfrida Mtoi Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemkamata Hassan Yahya...

Wizara nne kushughulikia vyanzo ukatili kwa watoto

Na Nora Damian Serikali inatarajia kuunda kamati maalumu itakayohusisha Wizara ya Katiba na Sheria, Mambo...

INEC YAWANOA WASIMAMIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI JIMBO LA KWAHANI

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya Kupiga Kura Jimbo la...

Mzee miaka 63 kizimbani kwa kumbaka binti yake

Na Malima Rubasha, Serengeti Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, imempandisha kizimbani Marwa...

Dk. Biteko: Kila Mtanzania atunze na kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Katibu madini, Kamishna wa mafuta, gesi wapewa maagizo

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amemuagiza Katibu Mkuu...

Ndoa ya Tanesco na Songas kutamatika Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali imesema kuwa mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya...

PPAA kuanza kutumia kanuni za rufani Julai 2024

Na Mwandishi Wetu, Mediqa Brains Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza...

Tanzania mwenyeji mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika

Na Winfrida Mtoi Tanzania imepata fursa ya kuandaa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama...

Latest articles

Mwamuzi Mtanzania kuchezesha Kombe la Dunia

Na Mwandishi Wetu MWAMUZI wa Tanzania wa mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu, Shaban...

Dawasa yatoa elimu Uhifadhi wa maji katika wiki ya mazingira

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...

Kampuni ya Media Brains yawapa mbinu za kidigitali waandishi wa habari Iringa

Na Mwandishi Wetu, Iringa KAMPUNI ya Media Brains kwa kushirikiana na Taasisi ya Konrad Adenauer...

Kibabage aimpa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON

Na Winfrida Mtoi BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson Kibabage amesema kitendo cha...