Na Mwandishi Wetu, Mwanza
VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Kadhalika katika kongamano la Amani la Viongozi wa Dini lililofanyika jijini Mwanza, viongozi...
Na Tatu Mohamed
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya umiliki wa nyumba Mjane wa Marehemu Justus Rugaibura, Alice Haule, baada ya Tume maalum ya Serikali kubaini kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo iliyokuwa katika mgogoro wa muda...