HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

JANUARI MAKAMBA AMSHUKURU RAIS SAMIA KUMFUNZA MENGI

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia...

RAIS SAMIA: NAMRUDISHA MWANANGU JANUARI KWA MAMA, NILIMPIGA KOFI

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amesema  anamrudisha Januari Makamba kwa mama kwani alimpiga...

Serikali yaongeza mafunzo kwa walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa wataalam

Na Mwandishi wetu, Bagamoyo SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti...

DAWASA yawatangazia fursa wenyeviti wa mitaa

Na Tatu Mohamed KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...

Ndejembi amsimamisha kazi Afisa ardhi Handeni

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemuelekeza...

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia

Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya Wafula...

TWIGA STARS YAITUNGUA EQUATORIAL GUINEA

Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeibuka na ushindi wa mabao...

Simba yapewa Al Masry

Na Mwandishi WetuRobo fainali Kombe la Shirikisho Afrika timu ya Simba imeangukia kwa Al...

Mhandisi Bwire: Tunairudisha Dawasa kwa Wananchi

Na Tatu Mohamed, Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na...

Oparesheni ya kuwadhibiti Fisi Simiyu yaonesha mafanikio makubwa

📍 Zaidi ya Fisi 16 wavunwa Na Mwandishi wetu, Simiyu.Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori...

BAADHI YA MAENEO DAR, PWANI, ZNZ KUKOSA UMEME FEB 22-28

Na Mwandishi Wetu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),limetoa taarifa ya uwepo wa maboresho katika kituo...

Singida BS yamuanika Patrick Aussems

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...