HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

Wakulima wakumbukwa msimu huu wa mavuno, kukopeshwa magari

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango  maalum  kwa ajili ya...

DCP Mambosasa afungua mafunzo ya medani za kivita

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Naibu Kamishna...

G. 55 rasmi wajitoa Chadema

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama wengine...

Rais atangaza kifo cha Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan  ametangaza...

Serikali yatambua mchango wa Kibanda katika tasnia ya habari, yampa zawadi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Mwandishi wa Habari Mkongwe,  Absalom Kibanda ambaye pia ni Mkurugenzi...

Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia Afrika Mashariki lafanyika Arusha

Na Mwandishi Wetu Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano...

Mahakama yaamuru Lissu afikishwe mahakamani Mei 19, mwaka huu

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

RAIS Samia awataka waandishi wa habari kuwa na uzalendo

Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa Habari na vyombo vya...

Aliyeandika vitisho kuhusu Padri Kitima akamatwa na Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia na Kumhoji Frey Cossey...

INEC yawataka wananchi kutumia siku zilizobaki kuboresha taarifa zao

Na Mwandishi Wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imewataka wananchi wa mikoa 15...

Yanga haina imani na TFF, Bodi ya Ligi, yasisitiza haichezi Dabi

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema hauko yatari kupeleka shauri kwenye Kamati...

Serikali yaahidi kushirikiana na waandaaji Tuzo za Muziki wa Injili

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema kuwa ipo tayari kushirikiana na waandaaji wa Tuzo za Muziki...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...