Rais atangaza kifo cha Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan  ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa  Rais na Waziri Mkuu,   Cleopa Msuya  kilichotokea leo Mei 7, 2025 katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu.

Akitangaza msiba huo, Rais Samia amesema  Mzee Msuya alikuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo kwa kipindi kirefu na alipata matibabu ya nchini katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Mzena na nje ya nchi London, Uingereza.

“Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa kwa Taifa, natangaza siku saba za maombolezo kuanzia tarehe 7-13 ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti,” amesema Rais Samia.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya...

More like this