HomeFeatured

Featured

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Majaliwa: Taasisi za Umma zitumie mifumo ya Kidigital

*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini  Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka...

Serikali yasitisha zoezi la ukaguzi wa risiti soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, Media Brains SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD)...

Deni la Taifa lafikia Trilioni 90, Serikali yatoa sababu za kuongezeka

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema hadi kufikia Machi...

VAR kutumika ligi kuu bara msimu ujao

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Ili kupunguza makosa ya waamuzi katika Ligi Kuu ya Tanzania...

Kikokotoo mafao ya Wastaafu sasa asilimia 40

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali imetangaza ongezeko la malipo ya mkupuo kwa wastaafu kutoka...

Matusi mitandaoni hayatanizuia kufanya mageuzi ya kiuchumi-Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu...

Watawala wetu wametumbukia kwenye ulevi wa uvivu wa kufikiri

Inajulikana wazi kuwa mabasi ya mwendokasi DART yanatoa huduma kwenye barabara kuu ya Morogoro...

UVCCM yaukataa mtandao wa X

Na Winfrida Mtoi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeishauri Serikali kuchunguza maudhui...

Bastola toy zatumika kufanyia uhalifu

Na Winfrida Mtoi Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemkamata Hassan Yahya...

Wizara nne kushughulikia vyanzo ukatili kwa watoto

Na Nora Damian Serikali inatarajia kuunda kamati maalumu itakayohusisha Wizara ya Katiba na Sheria, Mambo...

INEC YAWANOA WASIMAMIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI JIMBO LA KWAHANI

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya Kupiga Kura Jimbo la...

Mzee miaka 63 kizimbani kwa kumbaka binti yake

Na Malima Rubasha, Serengeti Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, imempandisha kizimbani Marwa...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....