HomeFeatured

Featured

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia nishati safi umeme kupikia Na Mwandishi Wetu, Kahama NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amekabidhi vitendea kazi vya usafiri kwa TANESCO Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma kwa...
spot_img

Keep exploring

Mwanahabari Mkongwe Mambo Mbotela afariki dunia

Mwanahabari mkongwe nchini Kenya, Leonard Mambo Mbotela amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Mbotela...

Kapinga: Kituo cha kupoza umeme cha Uhuru wilayani Urambo kimekamilika

📌 Kinalenga kuboresha hali ya upatikanaji umeme Urambo na maeneo mengine NAIBU Waziri wa Nishati,...

ZATO, Kamisheni ya Utalii Zanzibar watua Kilwa

Mikakati kamambe ya kutanua wigo wa soko la Utalii yasukwa Na Mwandishi Wetu KAMISHENI ya...

DC Bariadi akemea vitendo vya kuchungia mifugo ndani ya Hifadhi

Na Mwandishi wetu, Bariadi MKUU wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga amekemea vitendo vya baadhi...

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ashiriki ibada ya kumuaga mama mzazi wa Waziri Mkenda

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango na Mwenza...

Majaliwa aeleza msimamo wa Tanzania baada ya kauli ya Trump kusitisha misaada

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu...

Rais wa Malawi aagiza kuondoa majeshi yake DRC

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera amemuagiza Kamanda wa Jeshi la nchi hiyo...

Vijana 331 wachaguliwa kujiunga na mafunzo idara ya uhamiaji

Na Mwandishi Wetu IDARA ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na...

Bei ya Petroli, dizeli zapanda

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji – EWURA,...

WHO yatangaza tarehe ya uchaguzi wa kupatikana mrithi wa Ndugulile

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa Mkurugenzi mpya wa Kanda...

Wajiteka na kudai pesa kutoka kwa wazazi wao

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa...

Machifu watano watekwa Nyara Kenya na Al-Shabaab

MACHIFU watano wametekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab...

Latest articles

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha...