HomeFeatured

Featured

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi mbili. Pambano hilo limemalizika usiku huu katika ukumbi wa Warehouse Masaki, jijini Dar es Salaam. Akizungumzia pambano hilo,...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake la kesho dhidi ya Mnaigeria, Stanley Eribo litakuwa la kisasi, huku Hamad Furahisha akitaka kuweka rekodi ya kumchapa Mmalawi Hanock Phiri. Mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni kesho Desemba 26, kuzichapa katika...
spot_img

Keep exploring

Aliyemuua mkewe na kumchoma na magunia ya mkaa, ahukumiwa kunyongwa

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu mfanyabiashara, Hamis Luwongo, kunyongwa...

INEC yatangaza kuanza mchakato wa kugawa majimbo

Na Mwandishi Wetu, Morogoro TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa...

Rais Samia: Ujenzi Kituo cha kupoza umeme Handeni kuimarisha upatikanaji umeme

📌 Kituo kugharimu shilingi bilioni 50 📌 Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa...

Watumishi Tume ya Madini wajengewa uwezo matumizi ya mashine za kupima madini ya metali

Na Mwandishi Wetu KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi...

Zaidi ya watu 50 wafariki Congo kwa ugonjwa usiojulikana

Na Mwandishi Wetu  ZAIDI ya watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Serikali, wadau waombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour

Na Mwandishi wetu SERIKALI wakiwemo wadau mbalimbali wa michezo hasa wa gofu wameombwa kusapoti mashindano...

MAAFISA 26 WA LBL WAKAMATWA DAR

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia Februari...

JANUARI MAKAMBA AMSHUKURU RAIS SAMIA KUMFUNZA MENGI

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia...

RAIS SAMIA: NAMRUDISHA MWANANGU JANUARI KWA MAMA, NILIMPIGA KOFI

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amesema  anamrudisha Januari Makamba kwa mama kwani alimpiga...

Serikali yaongeza mafunzo kwa walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa wataalam

Na Mwandishi wetu, Bagamoyo SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti...

DAWASA yawatangazia fursa wenyeviti wa mitaa

Na Tatu Mohamed KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...

Ndejembi amsimamisha kazi Afisa ardhi Handeni

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemuelekeza...

Latest articles

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake...

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...