Na Mwandishi Wetu
WACHIMBAJI na wafanyabiashara wa madini nchini sasa wana fursa ya kupata huduma za vipimo vya madini kwa viwango vya kimataifa kupitia maabara ya Nesch Mintec iliyopo jijini Mwanza, hatua inayolenga kupunguza gharama na muda wa kusubiri matokeo ya vipimo.
Akizungumza katika maonyesho...
Na Mwandishi Wetu
MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...