Na Mwandishi Wetu, Tabora
VIONGOZI wa dini katika mikoa ya Kanda ya Magharibi wameazimia kuendelea kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao uliopangwa kufanyika oktoba 29, 2025.
Kadhalika viongozi hao kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi wamesisisitiza umuhimu wa kutumia...
Na Mwandishi Wetu, Lindi
VIONGOZI wa dini mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Kusini wamewataka vijana nchini kuendelea kulinda amani ya Taifa, kuacha kutegemea taarifa za mitandaoni na badala yake kujitokeza kwa wingi kupiga kura kumchagua kiongozi wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Wito...