HomeMichezo

Michezo

Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani

Na Mwandishi Wetu, Mwanza VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Kadhalika katika kongamano la Amani la Viongozi wa Dini lililofanyika jijini Mwanza, viongozi...

Chalamila amkabidhi mjane Alice Haule Hati ya Nyumba

Na Tatu Mohamed MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya umiliki wa nyumba Mjane wa Marehemu Justus Rugaibura, Alice Haule, baada ya Tume maalum ya Serikali kubaini kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo iliyokuwa katika mgogoro wa muda...
spot_img

Keep exploring

Simba yaizindua Serikali ukarabati uwanja wa Mkapa, mkandara apewa maagizo

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'...

Simba yatinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Na Mwandishi Wetu Timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada...

Rais Samia aigharamia Simba safari ya Sauzi

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiwezesha Simba...

Waogeleaji wa Lake Victoria Sports Club waahidi kuing’arisha Tanzania Kimataifa

Na Mwandishi Wetu Jumla ya waogeleaji sita  chipukizi wa Lake Victoria Sports Club  ya jijini...

YANGA YAIBAMIZA AZAM, TABORA HALI TETE, COASTAL YAZINDUKIA MKWAKWANI

Na Mwandishi Wetu Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC katika...

FADLU ATAKA USHINDI WA MABAO 4 KWA AL MASRY

Na Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema katika mchezo wa kesho wa...

Kiungo fundi Yanga kuikosa Azam

Na Mwandishi Wetu Kiungo wa Yanga Khalid Aucho atakosekana katika mchezo  wa Ligi Kuu Bara...

ALLY KAMWE  AKAMATWA NA POLISI AACHIWA  KWA DHAMANA

Na Mwandishi Wetu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao amesema Jeshi la...

SIMBA YAIFUATA AL MASRY NA HESABU KALI

Na Winfrida Mtoi Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka Machi 28,2025 kuifuata timu ya Al Masry...

BEKI WA YANGA APANDISHWA CHEO AWA SAJENTI

Na Mwandishi Wetu Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo mchezaji wetu Ibrahim...

Derby ya wanawake kesho, ubabe ubabe

Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo...

Mabingwa Lina PG Tour 2024 kushuka dimbani kesho, michuano ya gofu Dubai

Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI watatu bora wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour...

Latest articles

Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani

Na Mwandishi Wetu, Mwanza VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza...

Chalamila amkabidhi mjane Alice Haule Hati ya Nyumba

Na Tatu Mohamed MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya...

Rasmi Kocha Yanga afungashiwa virago usiku

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. ...