Yanga Bingwa Ligi Kuu msimu wa 2024/25

Na Mwandishi Wetu

Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuichapa Simba mabao 2-0, kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Ubingwa huo unakuwa wa mara ya nne mfululizo na mara ya 31 tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo.

Katika mechi hiyo ya kibabe iliyokuwa inaamua bingwa ni nani baada ya vuta ni kuvute za kuahirishwa kwa mchezo huo, mabao ya Yanga yalifungwa na Pacome Zouzoua dakika ya 66 kwa mkwaju wa penalti na Clement Mzize dakika ya 86.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya...

More like this