Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amezindua rasmi mita janja (smart meter) yenye lengo la kuboresha na kumrahisishia mteja kufanya manunuzi ya umeme moja kwa moja ikiwa ni mageuzi makubwa ya teknolojia yanayofanywa na TANESCO katika kuongeza ufanisi wa utoaji...
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima wanaotumia maji ya Mto Ruvu kwa shughuli za kilimo kusitisha matumizi hayo kwa muda hadi pale mvua zitakapoanza kunyesha kwa wingi ili kutoathiri shughuli za uzalishaji na usambazaji wa maji...
Na Mwandishi Wetu
Mwamuzi wa Tanzania ,Ahmed Arajiga ni miongoni mwa waamuzi wa wameteuliwa kuchezesha michuano ya CHAN yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi...