HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

Wasira: Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika viendeshwe kwa kuzingatia mahitaji

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema...

Waziri Kabudi azindua bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari, asema itasaidia kuwalinda dhidi ya manyanyaso, vitisho

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema...

Mapambano upotevu wa maji Dar, Wenyeviti wa Mitaaa kupewa ‘Vocha’

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika...

Lina PG Tour msimu wa pili yaanza kulindima leo, wachezaji 122 wajitokeza kushiriki

Na Mwandishi wetu WACHEZAJI takribani 122 wamejiandikisha kushiriki mashindano ya Lina PG Tour msimu wa...

Rais Samia: Barabara ya Bagamoyo – Pangani- Tanga na daraja la Pangani kuufungua Mkoa wa Tanga kiuchumi

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan...

Aliyemuua mkewe na kumchoma na magunia ya mkaa, ahukumiwa kunyongwa

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu mfanyabiashara, Hamis Luwongo, kunyongwa...

INEC yatangaza kuanza mchakato wa kugawa majimbo

Na Mwandishi Wetu, Morogoro TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa...

Rais Samia: Ujenzi Kituo cha kupoza umeme Handeni kuimarisha upatikanaji umeme

📌 Kituo kugharimu shilingi bilioni 50 📌 Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa...

Watumishi Tume ya Madini wajengewa uwezo matumizi ya mashine za kupima madini ya metali

Na Mwandishi Wetu KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi...

Zaidi ya watu 50 wafariki Congo kwa ugonjwa usiojulikana

Na Mwandishi Wetu  ZAIDI ya watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Serikali, wadau waombwa kusapoti mashindano ya Lina PG Tour

Na Mwandishi wetu SERIKALI wakiwemo wadau mbalimbali wa michezo hasa wa gofu wameombwa kusapoti mashindano...

MAAFISA 26 WA LBL WAKAMATWA DAR

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia Februari...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...