HomeFeatured

Featured

SMZ yapongeza udhamini mnono wa NMB Mapinduzi Cup

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa mashindano ya Mapinduzi Cup , unaobadili rasmi jina la michuano na sasa kuitwa NMB Mpinduzi Cup 2026. NMB Mapinduzi Cup 2026 inashirikisha timu 10, zikiwemo...

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi mbili. Pambano hilo limemalizika usiku huu katika ukumbi wa Warehouse Masaki, jijini Dar es Salaam. Akizungumzia pambano hilo,...
spot_img

Keep exploring

Umeme wa ardhini kumaliza kero Temeke

Na Nora Damian Tatizo la kukatika kwa umeme lililokuwa linaikabili Wilaya ya Temeke limepata ufumbuzi...

Watanzania washinda milioni 234 za AGT, Rais Samia awapongeza

Na Mwandishi wetu Wanasarakasi wawili watanzania ambao ni ndugu, Fadhil Ramadhani na Ibrahim Job, wameshinda...

Samia: Tumuenzi Lowassa kwa kufanya siasa za kujenga hoja

Nora Damian na Esther Mnyika, Monduli Rais Samia Suluhu Hassan amesema ukomavu mkubwa wa kisiasa...

AICC: Lowassa alianzisha uchumi wa mikutano, utalii

Nora Damian na Esther Mnyika, Monduli Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Lowassa ametajwa kuwa...

CCM yakumbuka maamuzi magumu ya Lowassa, Rostam aangua kilio

Nora Damian na Esther Mnyika, Monduli Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel...

Dube awanyima raha Simba

Na Mwandishi wetu Prince Dube ndiye mchezaji anayewakosesha raha mashabiki wa Simba baada ya leo...

Jenista ampongeza Rais Samia kwa kuboresha maslahi ya watumishi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na...

OSHA yaeleza jinsi TEHAMA inavyorahisisha usimamizi wa usalama na afya

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeeleza...

Muhimbili yaweka rekodi kutengeneza jinsia ya kike

Na Nora Damian Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeweka rekodi ya kihistoria kwa kufanya upasuaji...

Tucta yataka likizo ya uzazi iongezwe kwa wanaojifungua watoto njiti

Na Nora Damian Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeiomba Serikali kuangalia upya likizo...

Mashujaa wazitaka pointi tatu kwa Yanga

Na Winfrida Mtoi Kueleke mchezo wao na Yanga, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Mohammed Bares...

Wazabuni watatu kuchuana mradi wa mwendokasi Kibaha -Morogoro

Na Esther Mnyika, Media Brains Serikali imepokea zabuni tatu za utekelezaji wa mradi wa barabara...

Latest articles

SMZ yapongeza udhamini mnono wa NMB Mapinduzi Cup

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa...

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake...

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...