HomeFeatured

Featured

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi mbili. Pambano hilo limemalizika usiku huu katika ukumbi wa Warehouse Masaki, jijini Dar es Salaam. Akizungumzia pambano hilo,...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake la kesho dhidi ya Mnaigeria, Stanley Eribo litakuwa la kisasi, huku Hamad Furahisha akitaka kuweka rekodi ya kumchapa Mmalawi Hanock Phiri. Mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni kesho Desemba 26, kuzichapa katika...
spot_img

Keep exploring

Wenye migogoro ya bima waitwa kusuluhishwa

Na Mwandishi Wetu Msuluhishi wa Migogoro ya Bima, Margaret Mngumi amewataka wananchi wenye changamoto za...

Iran yanadi fursa za uwekezaji maonesho ya Sabasaba

Na Nora Damian Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za...

Wananchi Kipunguni kulipwa fidia mwezi ujao

Na Nora Damian Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema fidia kwa wakazi wa Mtaa...

Lugalo yang’ara  shindano la gofu

Na Winfrida Mtoi Klabu ya Lugalo imeng'ara katika shindano la gofu la  Vodacom Lugalo Open...

Mabadiliko ya sheria ya sukari yatawakomboa Watanzania-SBT

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Kufuatia upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na...

Uamuzi wa serikali kuwapa wafanyabiashara vibali vya uagizaji kulishusha bei ya sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa...

Serikali yakanusha kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali...

Serikali yawatoa hofu Watanzania kuhusu ubora na usalama wa sukari

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania...

Serikali yasema haina nia ya kuhujumu sekta ya sukari

*SBT yasema milango iko wazi kwa wanye malalamiko Na Winfrida Mtoi, Media Brains Serikali imetoa ufafanuzi...

Mufti azindua kitabu chake

Na Winfrida Mtoi Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir, amezindua  kitabu...

Uchebe ataja sababu za kurejea Tanzania

Na Winfrida Mtoi Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems maarufu Ucheba, ametaja sababu ya...

Ugonjwa wa Gen-Z unaambukiza kwa kasi, tuache kufukia vichwa vyetu ardhini

WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote...

Latest articles

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake...

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...