HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

IFM yang’ara mashindano ya TIOB

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeendelea kuonyesha ubora wake baada...

Njiwa wa Mapambo wanaouzwa kwa Laki nne hadi milioni moja, wageuka kivutio Nanenane

Na Tatu Mohamed NJIWA wa mapambo waliowasilishwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima na...

Wizara ya Katiba na Sheria yasaidia kupunguza migogoro ya ardhi Nanenane

Na Tatu Mohamed MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabiri Shekimweri, amesema kuwa ushiriki wa...

Taifa Stars yaendeleza ubabe CHAN

Na Winfrida Mtoi Bao pekee la Shomary Kapombe dakika ya 89, limeipa ushindi wa 1-0...

DC Mkalama avutiwa VETA, ahamasisha wananchi kujitokeza kupata ujuzi

Na Tatu Mohamed MKUU wa Wilaya ya Mkalama, Moses Machali ametoa wito kwa wananchi wa...

DC Kondoa avutiwa na hamasa ya kilimo cha mkonge Dodoma

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangassa, amepongeza juhudi zinazofanywa na...

Job Ndugai afariki Dunia

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai...

Mkuu wa Wilaya Dodoma atoa wito MOI kushirikiana na vyama vya bodaboda kuelimisha usalama barabarani

Na Tatu Mohamed MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri, ametembelea banda la Taasisi...

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo aipongeza e-GA kwa Mapinduzi ya Kidijitali Sekta ya Kilimo

Na Tatu Mohamed NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Athumani Kilundumya, ameipongeza Mamlaka...

Maendeleo ya elimu ni mkombozi wa Taifa lolote duniani- Majaliwa

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni...

Dodoma Jiji yatangaza mrithi wa Maxime

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Dodoma Jiji yamtangaza kocha Vincent Mashami kutoka Polisi FC ya Rwanda...

NLD yazindua Ilani yenye vipaombele vinne

Na Mwandishi Wetu Chama cha National League for Democracy (NLD), kimezindua rasmi Ilani yake ya...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...