Dodoma Jiji yatangaza mrithi wa Maxime

Na Mwandishi Wetu

Klabu ya Dodoma Jiji yamtangaza kocha Vincent Mashami kutoka Polisi FC ya Rwanda akichukua nafasi ya Mecky Maxime aliyeondoka mwishoni  msimu uliomalizika.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo leo Agosti 6, 2025, Mashami amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

Nelson Munganga

Katika hatua nyingine Dodoma Jiji imemtambulisha kiungo, Nelson Munganga raia wa DR Congo akitokea Tabora United.

Munganga mwenye umri wa miaka 32 aliwahi kuitumikia klabu ya AS Vita na DC Motema Pembe ya Cobgo DRC na Moulodia, MAS Fes za Morocco.

Dodoma Jiji inaimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya msimu uliopita kumaliza katika nafasi 12 na pointi 34.

spot_img

Latest articles

TANESCO YABORESHA MAISHA YA WAFANYAKAZI NYUMBA YA MUNGU

📌 Nyumba za wafanyakazi zakarabatiwa, kuboresha utendaji wa kazi 📌 Mtambo wa kisasa wa kuchakata...

KATAMBI ATOA ONYO KWA MAKUNDI YA ULINZI YASIYO RASMI

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa onyo kwa...

Watumishi OTR wapatiwa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Ubora

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) imeendelea na hatua za kuimarisha...

MRADI WA UMEME MPOMVU – GGM KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI GEITA – MHE. SALOME

📌 Kukamilika kwa njia mpya kutatoa fursa kwa njia ya awali kuendelea kunufaisha wananchi...

More like this