HomeFeatured

Featured

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani. Ushindani kwenye kila uwanda. Ni mfumo unaotaka kile kinachostawi na kutamalaki kitokane na juhudi ya kazi bora, kujitoa na kuwekeza ili umma uamue. Kwa mfano, soko huru halipaswi kuzuia mwenye nia...

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu baadaye, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuvuruga utaratibu wa soko. Akizungumza wakati wa ziara katika maghala ya kuhifadhia mafuta...
spot_img

Keep exploring

Sh. Bilioni 60 kulipa fidia wananchi waliopitiwa mradi wa Ruhudji na Rumakali

📌Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa 📌Kamati...

CPA Kasore akiteta jambo na Mhitimu wa fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya nguo, Riziki Ndumba

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore (Kulia) akiteta jambo na Riziki Ndumba (kushoto),...

VETA yapaka rangi jengo la Watoto MNH

Na Tatu Mohamed KATIKA kuadhimisha miaka 30 tangu ilipoanzishwa, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya...

Mkenda: Tutaendelea kuimarisha ushirikiano sekta ya nguo na mavazi

Na Tatu Mohamed SERIKALI imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yao, viwanda na wabunifu ili...

DC Kibaha afungua Baraza Kuu la Wafanyakazi DAWASA

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza...

Lukuvi aitaka Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kuweka mifumo rafiki ya usambazaji nyaraka kwa Wananchi

Na Mwandishi Wetu IDARA Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali yatakiwa kuweka mifumo mizuri ya...

Mramba: Umeme wa Jotoardhi kuunganishwa kwenye gridi ya Taifa ifikapo 2030

📌 *Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi 📌 SEforALL yatakiwa kuwekeza katika...

Rais Samia ashiriki Mkutano wa Dharura wa SADC kwa njia ya mtandao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya...

Majaliwa azindua Kituo cha Mabasi Nzega Mjini

Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya...

SEforALL kuimarisha ushirikiano upatikanaji nishati endelevu

📌 Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu 📌 Rais...

MOTSEPE KUENDELEA KUONGOZA CAF HADI 2029, KARIA MJUMBE

Na Mwandishi Wetu Rais wa Shirikisho la Soka  Afrika (CAF), Patrice Motsepe ataendelea kuliongoza shirikisho...

Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...

Latest articles

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....

Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta

Na Tatu Mohamed SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha...

Lukuvi afariki dunia

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye...

Mgodi wa kihistoria wa niobium kujengwa Mbeya

Na Mwandishi Mbeya TANZANIA imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada...