CPA Kasore akiteta jambo na Mhitimu wa fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya nguo, Riziki Ndumba

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore (Kulia) akiteta jambo na Riziki Ndumba (kushoto), mhitimu wa Fani ya Ushonaji, Ubunifu na Teknolojia ya Nguo, kutoka Chuo Cha VETA Songea, wakati wa Mkutano na Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nguo na Mavazi yaliyonyika tarehe 14 Machi 2025, ukumbi wa Golden Jubilee, Dar es Salaam.

Riziki Ndumba ni mjasiriamali mbunifu wa nguo anayeendesha shughuli zake mjini Songea, mkoa wa Ruvuma.

spot_img

Latest articles

ELAF yahimiza maridhiano na amani baada ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF) imewataka Watanzania...

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...

More like this