MOTSEPE KUENDELEA KUONGOZA CAF HADI 2029, KARIA MJUMBE

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Shirikisho la Soka  Afrika (CAF), Patrice Motsepe ataendelea kuliongoza shirikisho hilo hadi 2029 baada ya kuchaguliwa katika nafasi katika uchaguzi uliofanyika leo Machi 12,2025, Cairo, Misri.

Motsepe ambaye amekuwa Rais wa shirikisho hilo tangu mwaka 2021,  amechaguliwa akiwa ni mgombea pekee katika nafasi hiyo.

Naye Rais wa Shirikisho la Soka nchini(TFF), Wallace Karia amechaguliwa  mjumbe Kamati ya Utendaji ya (CAF), akiwa mgombea  pekee wa nafasi hiyo kuwakilisha Kanda ya Soka ya Baraza la vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa).

spot_img

Latest articles

CHELSEA BINGWA WA FIFA CWC 2025

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu kwa kuchapa...

Humphrey Polepole ajiuzulu

Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na...

Nandy ahamasika kutangaza Nembo ya Made in Tanzania Kimataifa

Na Tatu Mohamed MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga (Nandy), amesema elimu aliyoipata...

Ndumbaro: Sheria 300 Zimetafsiriwa kwa Kiswahili Ili Kuimarisha Uelewa kwa Wananchi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa hadi...

More like this